1 Mambo ya Nyakati 12:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Hao Wagadi walikuwa makamanda wa jeshi, yeye aliyekuwa mdogo amelingana na mia moja, na yeye aliyekuwa mkuu, na elfu moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Wagadi hao, walikuwa maofisa wa jeshi. Kulingana na vyeo vyao, mdogo alisimamia kikosi cha wanajeshi 100, na mkubwa alisimamia kikosi cha wanajeshi 1,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Wagadi hao, walikuwa maofisa wa jeshi. Kulingana na vyeo vyao, mdogo alisimamia kikosi cha wanajeshi 100, na mkubwa alisimamia kikosi cha wanajeshi 1,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Wagadi hao, walikuwa maofisa wa jeshi. Kulingana na vyeo vyao, mdogo alisimamia kikosi cha wanajeshi 100, na mkubwa alisimamia kikosi cha wanajeshi 1,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Hawa Wagadi walikuwa majemadari. Aliyekuwa mdogo alikuwa kama watu mia moja, naye aliyekuwa mkuu alikuwa kama watu elfu moja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Hawa Wagadi walikuwa majemadari. Aliyekuwa wa mwisho kuliko wote aliweza kuongoza askari 100, na aliyekuwa na uweza zaidi ya wote aliongoza 1,000. Tazama sura |