1 Mambo ya Nyakati 11:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Katika wale watatu yeye alikuwa mwenye heshima kuliko hao wawili, akawa kamanda wao; ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Basi, akawa mashuhuri zaidi miongoni mwa mashujaa thelathini, hata akawa kamanda wao, lakini hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Basi, akawa mashuhuri zaidi miongoni mwa mashujaa thelathini, hata akawa kamanda wao, lakini hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Basi, akawa mashuhuri zaidi miongoni mwa mashujaa thelathini, hata akawa kamanda wao, lakini hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Alitunukiwa heshima maradufu ya wale Watatu, akawa jemadari wao, ingawa hakuhesabiwa miongoni mwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Alitunukiwa heshima maradufu ya wale Watatu, akawa jemadari wao, ingawa hakuhesabiwa miongoni mwao. Tazama sura |