1 Mambo ya Nyakati 11:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Na hii ndiyo hesabu ya hao mashujaa aliokuwa nao Daudi; Yashobeamu, Mhakmoni, mkuu wa makamanda; huyo aliuinua mkuki wake juu ya watu mia tatu, akawaua pamoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Ifuatayo ni orodha ya mashujaa hao wa Daudi: Yashobeamu, Mhakmoni, aliyekuwa kiongozi wa “Wale thelathini.” Yeye alipigana kwa mkuki wake akaua watu 300 kwa mara moja vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Ifuatayo ni orodha ya mashujaa hao wa Daudi: Yashobeamu, Mhakmoni, aliyekuwa kiongozi wa “Wale thelathini.” Yeye alipigana kwa mkuki wake akaua watu 300 kwa mara moja vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Ifuatayo ni orodha ya mashujaa hao wa Daudi: Yashobeamu, Mhakmoni, aliyekuwa kiongozi wa “Wale thelathini.” Yeye alipigana kwa mkuki wake akaua watu 300 kwa mara moja vitani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Hii ndio orodha ya mashujaa wa Daudi: Yashobeamu Mhakmoni alikuwa mkuu wa maafisa; yeye aliinua mkuki wake dhidi ya watu mia tatu, aliowaua katika pambano moja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Hii ndio orodha ya mashujaa wa Daudi: Yashobeamu, Mhakmoni, alikuwa mkuu wa maafisa; yeye aliinua mkuki wake dhidi ya watu 300, ambao aliwaua katika pambano moja. Tazama sura |