Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 10:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Na mchukua silaha zake alipoona ya kuwa Sauli amekufa, yeye naye akauangukia upanga wake, akafa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Halafu yule aliyembebea silaha alipoona kuwa Shauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake, akafa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Halafu yule aliyembebea silaha alipoona kuwa Shauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake, akafa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Halafu yule aliyembebea silaha alipoona kuwa Shauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake, akafa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Mbeba silaha wake alipoona kwamba Sauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake akafa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Mbeba silaha wake alipoona kwamba Sauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake akafa.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 10:5
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Sauli akamwambia yule mchukua silaha zake, Futa upanga wako, unichome nao, ili watu hawa wasiotahiriwa wasije wakanisimanga. Lakini huyo mchukua silaha zake akakataa; kwa sababu aliogopa sana. Basi Sauli akautwaa upanga wake, akauangukia.

Hivyo Sauli akafa, na wanawe watatu; na nyumba yake yote wakafa pamoja.

Ndipo akamwita kwa haraka huyo kijana aliyekuwa anamchukulia silaha zake, na kumwambia, Futa upanga wako, uniue, ili watu wasiseme juu yangu, Aliuawa na mwanamke. Basi huyo kijana wake akamchoma upanga, naye akafa.

Na mchukua silaha zake alipoona ya kuwa Sauli amekufa, yeye naye akauangukia upanga wake, akafa pamoja naye.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo