1 Mambo ya Nyakati 10:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Tena vita vilikuwa vikali sana juu ya Sauli, na wapiga upinde wakampata; hadi akafadhaika sana kwa sababu ya wapiga upinde. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Vita vilikuwa vikali sana dhidi ya Shauli. Wapiga mishale walipomwona walimjeruhi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Vita vilikuwa vikali sana dhidi ya Shauli. Wapiga mishale walipomwona walimjeruhi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Vita vilikuwa vikali sana dhidi ya Shauli. Wapiga mishale walipomwona walimjeruhi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mapigano yakawa makali kumzunguka Sauli na wakati wapiga mishale walipompata, wakamjeruhi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mapigano yakawa makali kumzunguka Sauli na wakati wapiga mishale walipompata, wakamjeruhi. Tazama sura |