1 Mambo ya Nyakati 10:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Basi Sauli alikufa kwa sababu ya kosa lake alilomkosa BWANA, kwa sababu ya neno la BWANA, asilolishika; na tena kwa kutaka shauri kwa mwenye pepo wa utambuzi, aulize kwake, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Shauli alikufa kwa sababu ya kutokuwa mwaminifu; hakuwa mwaminifu kwani hakutii neno la Mwenyezi-Mungu na alikwenda kwa mwaguzi kumtaka shauri, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Shauli alikufa kwa sababu ya kutokuwa mwaminifu; hakuwa mwaminifu kwani hakutii neno la Mwenyezi-Mungu na alikwenda kwa mwaguzi kumtaka shauri, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Shauli alikufa kwa sababu ya kutokuwa mwaminifu; hakuwa mwaminifu kwani hakutii neno la Mwenyezi-Mungu na alikwenda kwa mwaguzi kumtaka shauri, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Sauli alikufa kwa sababu hakuwa mwaminifu kwa Mwenyezi Mungu. Hakulishika neno la Mwenyezi Mungu, hata akataka shauri kwa mwaguzi kwa ajili ya uongozi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Sauli alikufa kwa sababu hakuwa mwaminifu kwa bwana. Hakulishika neno la bwana, hata akataka shauri kwa mwaguzi kwa ajili ya uongozi, Tazama sura |