Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 10:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Na watu wote wa Yabesh-gileadi waliposikia hayo yote Wafilisti waliyomtenda Sauli,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Lakini watu wa Yabesh-gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Shauli,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Lakini watu wa Yabesh-gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Shauli,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Lakini watu wa Yabesh-gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Shauli,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Wakazi wote wa Yabesh-Gileadi waliposikia yale Wafilisti waliyomtendea Sauli,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Wakazi wote wa Yabeshi-Gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Sauli,

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 10:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaziweka silaha zake nyumbani mwa miungu yao, wakakitundika kichwa chake nyumbani mwa Dagoni.


wakainuka mashujaa wote, wakautwaa mwili wake Sauli, na miili ya wanawe, wakaileta Yabeshi, wakaizika mifupa yao chini ya mwaloni huko Yabeshi, nao wakafunga muda wa siku saba.


Basi wakasema, Ni ipi katika makabila ya Israeli ambayo haikufika mbele ya Bwana huko Mispa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo