1 Mambo ya Nyakati 10:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Wakaziweka silaha zake nyumbani mwa miungu yao, wakakitundika kichwa chake nyumbani mwa Dagoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Waliziweka silaha za Shauli katika hekalu la miungu yao; kisha wakakitundika kichwa chake katika hekalu la Dagoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Waliziweka silaha za Shauli katika hekalu la miungu yao; kisha wakakitundika kichwa chake katika hekalu la Dagoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Waliziweka silaha za Shauli katika hekalu la miungu yao; kisha wakakitundika kichwa chake katika hekalu la Dagoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Waliweka silaha zake katika hekalu la miungu yao, na wakatundika kichwa chake katika hekalu la Dagoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Waliweka silaha zake katika hekalu la miungu yao, wakatundika kichwa chake katika hekalu la Dagoni. Tazama sura |