1 Mambo ya Nyakati 1:51 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC51 Akafa Hadadi. Na hawa ndio majumbe wa Edomu; jumbe Timna, na jumbe Alva, na jumbe Yethethi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Naye Hadadi akafariki. Wakuu wa makabila ya Edomu walikuwa Timna, Alva, Yethethi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Naye Hadadi akafariki. Wakuu wa makabila ya Edomu walikuwa Timna, Alva, Yethethi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Naye Hadadi akafariki. Wakuu wa makabila ya Edomu walikuwa Timna, Alva, Yethethi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Naye Hadadi pia akafa. Wakuu wa Edomu walikuwa: Timna, Alva, Yethethi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Naye Hadadi pia akafa. Wakuu wa Edomu walikuwa: Timna, Alva, Yethethi, Tazama sura |