Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 1:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

50 Baal-Hanani akafa, naye Hadadi akatawala badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

50 Baal-hanani alipofariki, Hadadi kutoka Pai alitawala badala yake na jina la mkewe Akbori lilikuwa Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

50 Baal-hanani alipofariki, Hadadi kutoka Pai alitawala badala yake na jina la mkewe Akbori lilikuwa Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

50 Baal-hanani alipofariki, Hadadi kutoka Pai alitawala badala yake na jina la mkewe Akbori lilikuwa Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

50 Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

50 Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 1:50
4 Marejeleo ya Msalaba  

Akafa Shauli, akamiliki Baal-hanani, mwana wa Akbori, badala yake.

Akafa Baal-hanani, mwana wa Akbori, akamiliki Hadadi badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.

Shauli akafa, naye Baal-Hanani, mwana wa Akbori, akatawala badala yake.

Akafa Hadadi. Na hawa ndio majumbe wa Edomu; jumbe Timna, na jumbe Alva, na jumbe Yethethi;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo