1 Mambo ya Nyakati 1:48 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC48 Samla akafa, naye Shauli, wa Rehobothi karibu na Mto, akatawala badala yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ng’ambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ng’ambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake. Tazama sura |