1 Mambo ya Nyakati 1:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC45 Yobabu akafa, naye Hushamu, wa nchi ya Watemani, akatawala badala yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 Yobabu alipofariki, Hushamu wa nchi ya Watemi alitawala badala yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Yobabu alipofariki, Hushamu wa nchi ya Watemi alitawala badala yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Yobabu alipofariki, Hushamu wa nchi ya Watemi alitawala badala yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. Tazama sura |