Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 1:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

40 Wana wa Shobali; Alvani, na Manahathi, na Ebali, na Shefo, na Onamu. Na wana wa Sibeoni; Aya, na Ana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Wana wa Shobali walikuwa Alvani, Manahathi, Ebali, Shefi na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa Aya na Ana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Wana wa Shobali walikuwa Alvani, Manahathi, Ebali, Shefi na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa Aya na Ana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Wana wa Shobali walikuwa Alvani, Manahathi, Ebali, Shefi na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa Aya na Ana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa: Aya na Ana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 1:40
4 Marejeleo ya Msalaba  

Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi;

Na wana wa Lotani; Hori, na Hemamu; na Timna ni dada yake Lotani.

Wana wa Ana; Dishoni. Na wana wa Dishoni; Hemdani, na Eshbani, na Ithrani, na Kerani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo