Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 1:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

33 Na wana wa Midiani; Efa, na Eferi, na Hanoki, na Abida, na Eldaa. Hao wote ndio wana wa Ketura.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Henoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wazawa wa Ketura.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Henoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wazawa wa Ketura.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Henoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wazawa wa Ketura.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 1:33
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akamzalia Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Sua.

Na wana wa Midiani walikuwa, Efa, na Eferi, na Hanoki, na Abida, na Eldaa. Hao wote walikuwa ni wana wa Ketura.

Na wana wa Ketura, suria yake Abrahamu; yeye akamzaa Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Shua. Na wana wa Yokshani; Sheba na Dedani.

Na Abrahamu naye akamzaa Isaka. Wana wa Isaka; Esau, na Israeli.

Wingi wa ngamia utakufunika, Ngamia vijana wa Midiani na Efa; Wote watakuja kutoka Sheba; Wataleta dhahabu na uvumba; Na kuzitangaza sifa za BWANA.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo