1 Mambo ya Nyakati 1:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Hivi ndivyo vizazi vyao; mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Nebayothi; kisha Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Hivi ndivyo vizazi vyao: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli alikuwa Nebayothi na wengine ni Kedari, Adbeeli, Mibsamu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Hivi ndivyo vizazi vyao: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli alikuwa Nebayothi na wengine ni Kedari, Adbeeli, Mibsamu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Hivi ndivyo vizazi vyao: mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli alikuwa Nebayothi na wengine ni Kedari, Adbeeli, Mibsamu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Hawa ndio wazao wao: Ishmaeli akazaa Nebayothi mzaliwa wa kwanza; kisha Kedari, Adbeeli, Mibsamu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu, Tazama sura |