Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 1:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Wana wa Abrahamu; Isaka, na Ishmaeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Abrahamu alikuwa na watoto wawili wa kiume: Isaka na Ishmaeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Abrahamu alikuwa na watoto wawili wa kiume: Isaka na Ishmaeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Abrahamu alikuwa na watoto wawili wa kiume: Isaka na Ishmaeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Ibrahimu alikuwa na wana wawili: Isaka na Ishmaeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Ibrahimu alikuwa na wana wawili: Isaka na Ishmaeli.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 1:28
10 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akamwambia Abrahamu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana, na huyo mjakazi wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake, kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa.


Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Abrahamu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.


Na hivi ndivyo vizazi vya Isaka, mwana wa Abrahamu. Abrahamu alimzaa Isaka.


na Abramu, naye ndiye Abrahamu.


Hivi ndivyo vizazi vyao; mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Nebayothi; kisha Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu;


Na Abrahamu naye akamzaa Isaka. Wana wa Isaka; Esau, na Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo