Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 1:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 na Abramu, naye ndiye Abrahamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 na Tera akamzaa Abramu, ambaye ndiye Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 na Tera akamzaa Abramu, ambaye ndiye Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 na Tera akamzaa Abramu, ambaye ndiye Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Tera akamzaa Abramu (yaani Ibrahimu).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Tera akamzaa Abramu (yaani, Ibrahimu).

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 1:27
6 Marejeleo ya Msalaba  

wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Abrahamu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi.


na Serugi, na Nahori, na Tera;


Wana wa Abrahamu; Isaka, na Ishmaeli.


Wewe ndiwe BWANA, Mungu, uliyemchagua Abramu, na kumtoa katika Uri wa Wakaldayo, na kumpa jina la Abrahamu;


Yoshua akawaambia watu wote, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Baba zenu hapo zamani walikaa ng'ambo ya Mto, maana Tera, baba yake Abrahamu na Nahori; waliitumikia miungu mingine.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo