Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 1:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Na Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza aliitwa Pelegi, maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye aliitwa Yoktani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Eberi alikuwa na wana wawili; mmoja wao aliitwa Pelegi, (kwa maana wakati wake watu walikuwa wametawanyika duniani), na ndugu yake aliitwa Yoktani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Eberi alikuwa na wana wawili; mmoja wao aliitwa Pelegi, (kwa maana wakati wake watu walikuwa wametawanyika duniani), na ndugu yake aliitwa Yoktani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Eberi alikuwa na wana wawili; mmoja wao aliitwa Pelegi, (kwa maana wakati wake watu walikuwa wametawanyika duniani), na ndugu yake aliitwa Yoktani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Eberi alipata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Eberi alipata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 1:19
6 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Shemu ambaye ni baba wa wana wote wa Eberi, na ndugu mkubwa wa Yafethi, akazaliwa wana.

Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye ni Yoktani.

Na Arfaksadi akamzaa Sala, na Sala akamzaa Eberi.

Na Yoktani akamzaa Almodadi, na Shelefu, na Hasarmawethi, na Yera;

Lakini merikebu zitakuja kutoka pwani kwa Kitimu, Nazo zitamtaabisha Ashuru, na Eberi zitamtaabisha, Yeye naye atapata uharibifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo