Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 1:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Na Arfaksadi akamzaa Sala, na Sala akamzaa Eberi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Arpaksadi alimzaa Shela, Shela akamzaa Eberi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Arpaksadi alimzaa Shela, Shela akamzaa Eberi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Arpaksadi alimzaa Shela, Shela akamzaa Eberi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Arfaksadi akamzaa Shela, Shela akamzaa Eberi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Arfaksadi akamzaa Shela, Shela akamzaa Eberi.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 1:18
4 Marejeleo ya Msalaba  

Arfaksadi akamzaa Sela, Sela akamzaa Eberi.


Wana wa Shemu; Elamu, na Ashuru, na Arfaksadi, na Ludi, na Aramu, na Usi, na Huli, na Getheri, na Mashi.


Na Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza aliitwa Pelegi, maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye aliitwa Yoktani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo