Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 1:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Kushi naye akamzaa Nimrodi; yeye akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Kushi alimzaa Nimrodi, aliyekuwa mtu shujaa wa kwanza duniani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Kushi alimzaa Nimrodi, aliyekuwa mtu shujaa wa kwanza duniani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Kushi alimzaa Nimrodi, aliyekuwa mtu shujaa wa kwanza duniani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua shujaa mwenye nguvu duniani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 1:10
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na Misri akazaa Waludi, na Waanami, na Walehabi, na Wanaftuhi,


Na wana wa Kushi; Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama; Sheba, na Dedani.


Nao wataiharibu nchi ya Ashuru kwa upanga, na nchi ya Nimrodi katika malango yake; naye atatuokoa na Mwashuri, atakapoingia katika nchi yetu, na kukanyaga ndani ya mipaka yetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo