Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 1:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Adamu, na Sethi, na Enoshi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Adamu alimzaa Sethi, Sethi akamzaa Enoshi, Enoshi akamzaa Kenani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Adamu alimzaa Sethi, Sethi akamzaa Enoshi, Enoshi akamzaa Kenani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Adamu alimzaa Sethi, Sethi akamzaa Enoshi, Enoshi akamzaa Kenani,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Adamu, Sethi, Enoshi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Adamu, Sethi, Enoshi,

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 1:1
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.


Adamu akamjua mke wake tena; akazaa mwana mwanamume, akamwita jina lake Sethi; maana alisema, Mungu ameniwekea uzao mwingine mahali pa Habili; kwa sababu Kaini alimwua.


Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;


Siku zote za Adamu alizoishi ni miaka mia tisa na thelathini, naye akafa.


na Kenani, na Mahalaleli, na Yaredi;


wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,


wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo