Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yuda 1:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Rehemana amani na upendano muongezewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Nawatakieni huruma, amani na upendo kwa wingi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Nawatakieni huruma, amani na upendo kwa wingi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Nawatakieni huruma, amani na upendo kwa wingi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Rehema, amani na upendo ziwe kwenu kwa wingi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Rehema, amani na upendo viwe kwenu kwa wingi.

Tazama sura Nakili




Yuda 1:2
6 Marejeleo ya Msalaba  

kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu: Neema iwe kwenu na imani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwaua Yesu Kristo.


Na wote watakaoiendea kanuni hii, amani kwao na rehema, naam, kwa Israeli wa Mungu.


kwa Timotheo, mwana wangu khassa katika imani, Neema, na rehema, na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.


kama vile Mungu alivyotangulia kuwajua tangu milele katika utakaso wa Roho, hatta wakapata kutii na kunyunyizwa damu ya Yesu Kristo; Neema na amani ziongezwe kwenu.


Neema na iwe kwenu na amani iongezwe katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo