Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yuda 1:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Watu hawo ndio wajitengao, watu wa dunia hii tu, wasio na Roho.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Hao ndio wanaosababisha mafarakano, watu wa fikira za kidunia, wasio na Roho wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Hao ndio wanaosababisha mafarakano, watu wa fikira za kidunia, wasio na Roho wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Hao ndio wanaosababisha mafarakano, watu wa fikira za kidunia, wasio na Roho wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Hawa ndio watu wanaowagawanya ninyi, wanaofuata tamaa zao za asili, wala hawana Roho wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Hawa ndio watu wanaowagawa ninyi, wafuatao tamaa zao za asili, wala hawana Roho.

Tazama sura Nakili




Yuda 1:19
11 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini ikiwa Roho ya Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamfuati mambo ya mwili, bali mambo ya roho. Lakini mtu aliye yote asipokuwa na Roho ya Kristo, huyo si mtu wake.


Bassi mwana Adamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Mungu; maana kwake huyu ni mapumbavu, wala hawezi kuyajua, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.


Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu ya Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyopewa na Mungu? Na ninyi si mali yenu wenyewe;


tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tukionyana; na tukizidi, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia.


Hekima hii siyo ile ishukayo kutoka juu, bali ni ya dunia, na ya tabia ya kibinadamu, na ya Shetani,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo