Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 9:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Alipokwisha kusema haya, akatema mate chini, akafanya tope kwa yale mate,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Baada ya kusema hayo, akatema mate chini, akafanyiza tope, akampaka yule kipofu machoni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Baada ya kusema hayo, akatema mate chini, akafanyiza tope, akampaka yule kipofu machoni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Baada ya kusema hayo, akatema mate chini, akafanyiza tope, akampaka yule kipofu machoni,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Baada ya kusema haya, akatema mate ardhini, akatengeneza tope kwa mate na kumpaka yule kipofu machoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Baada ya kusema haya, akatema mate ardhini, akatengeneza tope kwa mate na kumpaka yule mtu kipofu machoni.

Tazama sura Nakili




Yohana 9:6
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akamtenga na makutano kwa faragha, akatia vidole vyake masikioni mwake, akatema mate, akamgusa nlimi,


Akamshika mkono vule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akaweka mikono yake juu yake, akamwuliza, Waona kitu?


Yeye akajibu, akanena, Mtu aitwae Yesu alifanya tope, akanipaka macho yangu, akaniambia, Enenda hatta birika ya Siloam, ukanawe; bassi nikaenda nikanawa, nikapata kuona.


Nakupa shauri, ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto, upate kuwa tajiri; na mavazi meupe upate kuvaa, aibu ya nchi wako isionekane; na dawa ya macho ya kujipaka macho yako upate kuona,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo