Yohana 9:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192137 Yesu akamwambia, Umemwona, na yeye anaesema nawe ndiye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Isa akamjibu, “Umekwisha kumwona; naye anayezungumza nawe, ndiye.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Isa akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.” Tazama sura |