Yohana 9:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192136 Nae akajibu, akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Huyo mtu akajibu, “Mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Huyo mtu akajibu, “Mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Huyo mtu akajibu, “Mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.” Tazama sura |