Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 9:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Bassi wakamshutumu, wakasema, Wewe u mwanafunzi wake mtu yule; sisi tu wanafunzi wa Musa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Lakini wao wakamtukana wakisema, “Wewe ni mfuasi wake; sisi ni wafuasi wa Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Lakini wao wakamtukana wakisema, “Wewe ni mfuasi wake; sisi ni wafuasi wa Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Lakini wao wakamtukana wakisema, “Wewe ni mfuasi wake; sisi ni wafuasi wa Mose.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Ndipo wakamtukana na kusema, “Wewe ndiwe mwanafunzi wake! Sisi ni wanafunzi wa Musa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Ndipo wakamtukana na kusema, “Wewe ndiwe mwanafunzi wake, Sisi ni wanafunzi wa Musa.

Tazama sura Nakili




Yohana 9:28
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisatikisa vichwa vyao,


M kheri ninyi watakapowatukana na kuwatesa na kuwanenea killa neno baya kwa uwongo, kwa ajili yangu.


Aliyewapeni torati si Musa? wala hapana mmoja wenu aitendae torati. Mbona mnatafuta kuniua?


Wakajibu, wakamwambia, Wewe ulizaliwa katika dhambi tupu, nawe unatufuudisha sisi? Wakamtoa nje.


Lakini wewe, ukiwa unakwitwa Myahudi na kuitegemea torati, na kujisifu katika Mungu,


tena twataabika tukifanya kazi kwa mikono yetu wenyewe. Tukitukanwa twabariki, tukiudhiwa twavumilia;


wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyangʼanyi.


yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa hakuogofya; bali alijikabidhi kwake yeye ahukumuye kwa haki;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo