Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 9:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Akawajibu, Nimekwisha kuwaambieni, wala hamkusikia: Mbona mnataka kusikia marra ya pili? Ninyi nanyi mnataka kuwa wanafunzi wake?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Huyo mtu akawajibu, “Nimekwisha waambieni, nanyi hamkusikiliza; kwa nini mwataka kusikia tena? Je, nyinyi pia mnataka kuwa wafuasi wake?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Huyo mtu akawajibu, “Nimekwisha waambieni, nanyi hamkusikiliza; kwa nini mwataka kusikia tena? Je, nyinyi pia mnataka kuwa wafuasi wake?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Huyo mtu akawajibu, “Nimekwisha waambieni, nanyi hamkusikiliza; kwa nini mwataka kusikia tena? Je, nyinyi pia mnataka kuwa wafuasi wake?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Akawajibu, “Tayari nimekwisha kuwaambia, nanyi hamtaki kunisikiliza. Mbona mnataka kusikia tena? Je, ninyi nanyi mnataka kuwa wanafunzi wake?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Akawajibu, “Tayari nimekwisha kuwaambia, nanyi hamtaki kunisikiliza. Mbona mnataka kusikia tena? Je, ninyi nanyi mnataka kuwa wanafunzi wake?”

Tazama sura Nakili

Yohana 9:27
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kama wewe u Kristo, tuambie. Akawaambia, Nijapowaambieni, hamtaamini kabisa:

Amin, amin, nawaambieni, Saa inakuja, na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hayi.

Wakamwambia tena, Alikutenda nini? Alikufumbuaje macho?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo