Yohana 9:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Wazazi wake wakawajibu, wakasema, Tunajua ya kuwa huyu ni mwana wetu, na ya kuwa alizaliwa kipofu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Wazazi wake wakajibu, “Tunajua kwamba huyu ni mtoto wetu, na kwamba alizaliwa kipofu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Wazazi wake wakajibu, “Tunajua kwamba huyu ni mtoto wetu, na kwamba alizaliwa kipofu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Wazazi wake wakajibu, “Tunajua kwamba huyu ni mtoto wetu, na kwamba alizaliwa kipofu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Wazazi wake wakajibu, “Tunajua ya kuwa huyu ni mtoto wetu na ya kuwa alizaliwa kipofu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Wazazi wake wakajibu, “Tunajua ya kuwa huyu ni mtoto wetu na ya kuwa alizaliwa kipofu. Tazama sura |