Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 9:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Wanafunzi wake wakamwuliza, wakinena, Rabbi, ni nani aliyetenda dhambi, mtu huyu au wazazi wake, hatta akazaliwa kipofu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Basi, wanafunzi wakamwuliza, “Mwalimu! Ni nani aliyetenda dhambi: Mtu huyu, ama wazazi wake, hata akazaliwa kipofu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Basi, wanafunzi wakamwuliza, “Mwalimu! Ni nani aliyetenda dhambi: Mtu huyu, ama wazazi wake, hata akazaliwa kipofu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Basi, wanafunzi wakamwuliza, “Mwalimu! Ni nani aliyetenda dhambi: mtu huyu, ama wazazi wake, hata akazaliwa kipofu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Wanafunzi wake wakamuuliza, “Mwalimu, ni nani aliyetenda dhambi; ni huyu mtu au wazazi wake hata azaliwe kipofu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Wanafunzi wake wakamuuliza, “Mwalimu, ni nani aliyetenda dhambi, ni huyu mtu au wazazi wake hata azaliwe kipofu?”

Tazama sura Nakili




Yohana 9:2
9 Marejeleo ya Msalaba  

Wakasema, Wengine Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.


na kusalimiwa sokoni, na kuitwa na watu, Rabbi, Rabbi.


Bali ninyi nisiitwe Rabbi; maana mwalimu wenu yu mmoja ndiye Kristo, na ninyi nyote ni ndugu.


Akajibu, akawaambia, Je! Mwadhani ya kuwa Wagalilaya hawo walikuwa wenye dhambi kuliko Wagalilaya wote hatta wakapata mateso kama hayo?


Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabbi, ule.


HATTA alipokuwa akipita akamwona nitu, kipofu tangu kuzaliwa.


Wakajibu, wakamwambia, Wewe ulizaliwa katika dhambi tupu, nawe unatufuudisha sisi? Wakamtoa nje.


Washenzi walipomwona yule nyoka akimwangikia mkono, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni muuaji; na ijapokuwa ameokoka katika bahari, haki haimwachi kuishi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo