Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 9:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Huyu ndiye mwana wenu msemae kwamba alizaliwa kipofu? Amepataje, bassi, kuona sasa?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Basi, wakawauliza hao wazazi, “Je, huyu ndiye mtoto wenu ambaye nyinyi mwasema alizaliwa kipofu? Sasa amepataje kuona?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Basi, wakawauliza hao wazazi, “Je, huyu ndiye mtoto wenu ambaye nyinyi mwasema alizaliwa kipofu? Sasa amepataje kuona?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Basi, wakawauliza hao wazazi, “Je, huyu ndiye mtoto wenu ambaye nyinyi mwasema alizaliwa kipofu? Sasa amepataje kuona?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Wakawauliza, “Je, huyu ni mtoto wenu, ambaye mnasema alizaliwa kipofu? Imekuwaje basi sasa anaona?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Wakawauliza, “Je, huyu ni mtoto wenu, ambaye mnasema alizaliwa kipofu? Imekuwaje basi sasa anaona?”

Tazama sura Nakili

Yohana 9:19
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Wayahudi hawakusadiki khabari zake ya kuwa alikuwa kipofu akapata kuona, hatta wakawaita wazazi wake yule aliyepata kuona; wakawauliza, wakinena,

Wazazi wake wakawajibu, wakasema, Tunajua ya kuwa huyu ni mwana wetu, na ya kuwa alizaliwa kipofu;

Wakamtambua, ya kuwa yeye ndiye aliyekuwa ameketi na kuomba sadaka penye mlango mzuri wa hekalu: wakajaa ushangao wakastaajabia mambo yale yaliyompata.

Na wakimwona yule aliyeponywa akisimama pamoja nao hawakuwa na neno la kujibu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo