Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 9:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Bassi Wayahudi hawakusadiki khabari zake ya kuwa alikuwa kipofu akapata kuona, hatta wakawaita wazazi wake yule aliyepata kuona; wakawauliza, wakinena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Viongozi wa Wayahudi hawakusadiki kwamba mtu huyo alikuwa kipofu hapo awali na sasa anaona, mpaka walipowaita wazazi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Viongozi wa Wayahudi hawakusadiki kwamba mtu huyo alikuwa kipofu hapo awali na sasa anaona, mpaka walipowaita wazazi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Viongozi wa Wayahudi hawakusadiki kwamba mtu huyo alikuwa kipofu hapo awali na sasa anaona, mpaka walipowaita wazazi wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Wale Wayahudi hawakuamini ya kuwa mtu huyo alikuwa kipofu akapata kuona, hadi walipowaita wazazi wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Wale Wayahudi hawakuamini ya kuwa mtu huyo alikuwa kipofu, akapata kuona, mpaka walipowaita wazazi wake.

Tazama sura Nakili




Yohana 9:18
11 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia, Wasiposikia Musa na manabii, ajapoondoka mtu katika wafu, hawatashawishwa.


Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma makuhani na Walawi toka Yerusalemi wamwulize, Wewe u nani?


Mwawezaje kuamini ninyi mnaopokezanya utukufu ninyi kwa ninyi, na utukufu ule utokao kwa Mungu aliye wa pekee hamwutafuti?


Huyu ndiye mwana wenu msemae kwamba alizaliwa kipofu? Amepataje, bassi, kuona sasa?


Wazazi wake waliyasema haya kwa sababu waliwaogopa Wayahudi; kwa maana Wayahudi wamekwisha kuwafikana kwamba mtu akimwungama kuwa Kristo, ataharamishwa sunagogi.


Bassi, na tufanye bidii kuingia katika raha ile, mtu ye yote asije akaanguka kwti mfano huo huo wa kuasi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo