Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 9:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Bassi Mafarisayo nao wakamwuliza tena jinsi alivyopata kuona. Akawaambia, Alitia tope juu ya macho yangu nikanawa, na sasa naona.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Basi, Mafarisayo wakamwuliza mtu huyo, “Umepataje kuona?” Naye akawaambia, “Alinipaka tope machoni, nami nikanawa na sasa naona.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Basi, Mafarisayo wakamwuliza mtu huyo, “Umepataje kuona?” Naye akawaambia, “Alinipaka tope machoni, nami nikanawa na sasa naona.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Basi, Mafarisayo wakamwuliza mtu huyo, “Umepataje kuona?” Naye akawaambia, “Alinipaka tope machoni, nami nikanawa na sasa naona.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Mafarisayo nao wakaanza kumuuliza yule mtu alivyopata kuona. Naye akawaambia, “Alinipaka tope kwenye macho yangu, nikanawa na sasa ninaona.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Mafarisayo nao wakaanza kumuuliza alivyopata kuponywa. Naye akawaambia, “Alinipaka tope kwenye macho yangu, nikanawa na sasa ninaona.”

Tazama sura Nakili

Yohana 9:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kukawa matangukano kati yao. Bassi wakamwambia yule kipofu marra ya pili, Wewe unasema nini katika khabari zake kwa kuwa alikufumbua macho? Akasema, Yu nabii.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo