Yohana 9:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Yeye akajibu, akanena, Mtu aitwae Yesu alifanya tope, akanipaka macho yangu, akaniambia, Enenda hatta birika ya Siloam, ukanawe; bassi nikaenda nikanawa, nikapata kuona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Naye akawajibu, “Yule mtu aitwaye Yesu alifanya tope, akanipaka machoni na kuniambia: ‘Nenda ukanawe katika bwawa la Siloamu.’ Hapo, mimi nikaenda, nikanawa, nikapata kuona.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Naye akawajibu, “Yule mtu aitwaye Yesu alifanya tope, akanipaka machoni na kuniambia: ‘Nenda ukanawe katika bwawa la Siloamu.’ Hapo, mimi nikaenda, nikanawa, nikapata kuona.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Naye akawajibu, “Yule mtu aitwaye Yesu alifanya tope, akanipaka machoni na kuniambia: ‘Nenda ukanawe katika bwawa la Siloamu.’ Hapo, mimi nikaenda, nikanawa, nikapata kuona.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Yeye akawajibu, “Yule mtu aitwaye Isa alitengeneza tope, akanipaka machoni mwangu, naye akaniambia, ‘Nenda ukanawe katika Bwawa la Siloamu,’ ndipo nikanawa nami nikapata kuona!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Yeye akawajibu, “Yule mtu aitwaye Isa alitengeneza tope, akanipaka machoni mwangu, naye akaniambia nenda ukanawe katika Bwawa la Siloamu, ndipo nikanawa nami nikapata kuona!” Tazama sura |