Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 8:59 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

59 Bassi wakatwaa mawe wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

59 Hapo wakaokota mawe ili wamtupie, lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

59 Hapo wakaokota mawe ili wamtupie, lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

59 Hapo wakaokota mawe ili wamtupie, lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

59 Ndipo wakaokota mawe ili kumpiga, lakini Isa akajificha, naye akatoka Hekaluni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

59 Ndipo wakaokota mawe ili kumpiga, lakini Isa akajificha, naye akatoka Hekaluni.

Tazama sura Nakili




Yohana 8:59
18 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Mafarisayo wakatoka wakamfanyia shauri la kumwangamiza.


Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua, akatoweka asionekane nao.


Bassi Yesu hakutemhea tena kwa wazi kati ya Wayahudi, hali alitoka huko akaenda mahali karibu ya jangwa, hatta mji nitwao Efraim; akakaa huko pamoja na wanafunzi wake.


Wale wanafunzi wakamwambia, Rabbi, juzi juzi tu Wayahudi walikuwa wakitafuta kukupiga mawe, nawe unakweuda huko tena?


Maadam mnayo nuru, iaminini nuru, mpate kuwa wana wa nuru. Hayo aliyasema Yesu, akaenda zake akajificha nao.


Bassi Pilato akawaambia, Mtwaeni ninyi, mkamhukumu kwa sharia yenu. Wayahudi wakamwambia, Sisi hatuna rukhusa kuua mtu;


Lakini yule aliyeponywa, hakujua ni nani; maana Yesu amejitenga, kwa sababu palikuwa na watu wengi mahali pale.


HATTA alipokuwa akipita akamwona nitu, kipofu tangu kuzaliwa.


Wakapiga kelele kwa sauti kuu, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo