Yohana 8:57 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192157 Bassi Wayahudi wakamwambia. Hujapata bado miaka khamsini, na Ibrahimu umemwona? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema57 Basi, Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza miaka hamsini bado, nawe umemwona Abrahamu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND57 Basi, Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza miaka hamsini bado, nawe umemwona Abrahamu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza57 Basi, Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza miaka hamsini bado, nawe umemwona Abrahamu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu57 Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza hata miaka hamsini, nawe wasema umemwona Ibrahimu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu57 Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza hata miaka hamsini, wewe wasema umemwona Ibrahimu?” Tazama sura |