Yohana 8:53 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192153 Wewe u mkuu kuliko baba yetu Ibrahimu, nae amekufa? Na manabii wamekufa; wajifanya kuwa nani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema53 Je, unajifanya mkuu kuliko baba yetu Abrahamu ambaye alikufa? Hata na manabii walikufa. Wewe unajifanya kuwa nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND53 Je, unajifanya mkuu kuliko baba yetu Abrahamu ambaye alikufa? Hata na manabii walikufa. Wewe unajifanya kuwa nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza53 Je, unajifanya mkuu kuliko baba yetu Abrahamu ambaye alikufa? Hata na manabii walikufa. Wewe unajifanya kuwa nani?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu53 Je, wewe ni mkuu kuliko baba yetu Ibrahimu ambaye alikufa, na manabii ambao pia walikufa? Unafikiri wewe ni nani?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu53 Je, wewe ni mkuu kuliko baba yetu Ibrahimu ambaye alikufa na manabii ambao nao pia walikufa? Hivi wewe unajifanya kuwa nani?” Tazama sura |