Yohana 8:50 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192150 Nami siutafuti ntukufu wangu; yuko atafutae na kuhukumu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Mimi sijitafutii utukufu wangu mwenyewe; yuko mmoja mwenye kuutafuta utukufu huo, naye ni hakimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Mimi sijitafutii utukufu wangu mwenyewe; yuko mmoja mwenye kuutafuta utukufu huo, naye ni hakimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Mimi sijitafutii utukufu wangu mwenyewe; yuko mmoja mwenye kuutafuta utukufu huo, naye ni hakimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Lakini mimi sitafuti utukufu wangu mwenyewe, bali yuko anayetaka kunitukuza, naye ndiye mwamuzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Lakini mimi sitafuti utukufu wangu mwenyewe, bali yuko anayetaka kunitukuza, naye ndiye mwamuzi. Tazama sura |