Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 8:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

49 Yesu akajibu, Mimi sina pepo; lakini namheshimu Baba yangu, nanyi hamniheshimu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 Yesu akajibu, “Mimi sina pepo; mimi namheshimu Baba yangu, lakini nyinyi hamniheshimu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 Yesu akajibu, “Mimi sina pepo; mimi namheshimu Baba yangu, lakini nyinyi hamniheshimu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 Yesu akajibu, “Mimi sina pepo; mimi namheshimu Baba yangu, lakini nyinyi hamniheshimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 Isa akawajibu, “Mimi sina pepo mchafu, bali ninamheshimu Baba yangu, nanyi mnanidharau.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 Isa akawajibu, “Mimi sina pepo mchafu, bali ninamheshimu Baba yangu, nanyi mnanidharau.

Tazama sura Nakili




Yohana 8:49
16 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu aliposikia, alisema, Ugonjwa huu si wa mauti, bali kwa ajili ya utukufu wake Mungu, illi Mwana wa Mungu atukuzwe kwa huo.


Bassi ikaja sauti kutoka mbinguni, Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.


Na mkiomba lo lote kwa jina langu, hili nitalifanya, Baba atukuzwe ndani ya Mwana.


Mimi nimekutukuza duniani. Kazi ile uliyonipa niifanye nimeimaliza.


Makutano wakajibu, wakasema, Una pepo; ni nani anaetafuta kukuua?


Nae aliyenipeleka yu pamoja nami; Baba hakuniacha peke yangu: kwa sababu mimi nafanya siku zote yampendezayo.


Nao wakatoka katika ile baraza, wakifurahi kwa sababu wamehesabiwa kuwa wamestahili kuaibishwa kwa ajili ya jina lake.


Je! sharia ya asili yenyewe haiwafundishi ya kwamba mwanamume akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake;


hupandwa katika aibu; hufufuka katika fakhari; hupandwa katika udhaifu; hufufuka katika nguvu;


yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa hakuogofya; bali alijikabidhi kwake yeye ahukumuye kwa haki;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo