Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 8:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Mbona hamyafahamu maneno yangu haya niyasemayo? Ni kwa sababu hamwezi kulisikia neno langu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Kwa nini hamuelewi hayo ninayosema? Ni kwa kuwa hamwezi kuusikiliza ujumbe wangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Kwa nini hamuelewi hayo ninayosema? Ni kwa kuwa hamwezi kuusikiliza ujumbe wangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Kwa nini hamuelewi hayo ninayosema? Ni kwa kuwa hamuezi kuusikiliza ujumbe wangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Kwa nini hamwelewi ninayowaambia? Ni kwa sababu hamwezi kusikia nisemacho.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Kwa nini hamwelewi ninayowaambia? Ni kwa sababu hamwezi kusikia nisemacho.

Tazama sura Nakili




Yohana 8:43
18 Marejeleo ya Msalaba  

Maana moyo wa watu hawa umekuwa mzito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao Wakasikia kwa masikio yao, Wakafahama kwa mioyo yao, Wakaongoka, Nikawaponya.


Amin, amin, nawaambieni, Saa inakuja, na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hayi.


Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, nanyi hamnipokei: mwingine akija kwa jina lake mwenyewe mtampokea huyo.


Bassi watu wengi katika wanafunzi wake waliposikia haya, wakasema, Neno hili ni gumu, nani awezae kulisikia?


Mtu akipenda kuyatenda mapenzi yake, atajua khabari ya elimu hii kwamba yatoka kwa Mungu, au kwamba mimi nanena kwa nafsi yangu tu.


Hawakufahamu ya kuwa awatajia Baba.


Wakamjihu, Tu uzao wake Ibrahimu, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote; nawe wanenaje, Mtawekwa huru?


Wakajibu, wakamwambia, Baba yetu ni Ibrahimu. Yesu akawaambia, Kama mugekuwa watoto wa Ibrahimu, mngetenda kazi zake Ibrahimu.


Enyi wenye shingo gumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, siku zote mnampinga Roho Mtakatifu; kama baba zenu walivyofanya na ninyi vivyo hivyo.


Hakuna afahamuye, Hakuna amtafutae Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo