Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 8:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu niliyewaambia kweli ile niliyoisikia kwa Baba yangu. Ibrahimu hakufanya hivi. Ninyi nmazitenda kazi za baba yenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Mimi nimewaambieni ukweli niliousikia kwa Mungu; hata hivyo, nyinyi mwataka kuniua. Abrahamu hakufanya hivyo!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Mimi nimewaambieni ukweli niliousikia kwa Mungu; hata hivyo, nyinyi mwataka kuniua. Abrahamu hakufanya hivyo!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Mimi nimewaambieni ukweli niliousikia kwa Mungu; hata hivyo, nyinyi mwataka kuniua. Abrahamu hakufanya hivyo!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Lakini sasa ninyi mnatafuta kuniua, mtu ambaye nimewaambia kweli ile niliyosikia kutoka kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya jambo la namna hii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Lakini sasa ninyi mnatafuta kuniua, mtu ambaye nimewaambia kweli ile niliyosikia kutoka kwa Mungu, Ibrahimu hakufanya jambo la namna hii.

Tazama sura Nakili




Yohana 8:40
13 Marejeleo ya Msalaba  

NA baada ya haya Yesu akawa akitembea katika Galilaya: maana hakutaka kutembea katika Yahudi, kwa sababu Wayahudi walikuwa wakitafuta kumwua.


Nina maneno mengi ya kusema na kuhukumu katika khabari zenu; lakini yeye aliyenipeleka ni kweli, nami niliyoyasikia kwake, ndiyo ninenayo katika ulimwengu.


Ibrahimu baba yemi alishangilia apate kuiona siku yangu; akaona, akafurahi.


na baba ya kutahiriwa, si kwa hao waliotahiriwa tu, bali kwa hao waliotahiriwa na kuzifuasa uyayo za imani yake baba yetu Ibrahimu aliyokuwa nayo kabla asijatahiriwa.


Bassi, je! nimekuwa adui wenu kwa sababu nawa ambieni yaliyo kweli?


Lakini kama vile siku zile yule aliyezaliwa kwa mwili alimwudhi yule aliyezaliwa kwa Roho, vivyo hivyo na sasa.


Joka akamkasirikia mwanamke akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo.


Na mkia wake wakokota thuluth ya nyota za mbinguni na kuziangusha katika inchi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo