Yohana 8:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kisha wakamwuliza Yesu, “Mwalimu! Mwanamke huyu alifumaniwa katika uzinzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kisha wakamwuliza Yesu, “Mwalimu! Mwanamke huyu alifumaniwa katika uzinzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kisha wakamwuliza Yesu, “Mwalimu! Mwanamke huyu alifumaniwa katika uzinzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wakamwambia Isa, “Mwalimu, huyu mwanamke amekutwa akizini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wakamwambia Isa, “Mwalimu, huyu mwanamke amekutwa akizini. Tazama sura |