Yohana 8:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192135 Na mtumwa hakai ndani ya nyumba siku zote; mwana hukaa siku zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Mtumwa hana makao ya kudumu nyumbani, lakini mwana anayo makao ya kudumu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Mtumwa hana makao ya kudumu nyumbani, lakini mwana anayo makao ya kudumu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Mtumwa hana makao ya kudumu nyumbani, lakini mwana anayo makao ya kudumu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Mtumwa hakai nyumbani anakotumika siku zote, lakini mwana hukaa nyumbani daima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Mtumwa hakai nyumbani anakotumika siku zote, lakini mwana hukaa nyumbani daima. Tazama sura |