Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 8:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Alipokuwa akisema haya, wengi walimwamini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Baada ya kusema hayo watu wengi walimwamini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Baada ya kusema hayo watu wengi walimwamini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Baada ya kusema hayo watu wengi walimwamini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Wengi waliomsikia Isa akisema maneno haya wakamwamini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Wengi waliomsikia Isa akisema maneno haya wakamwamini.

Tazama sura Nakili




Yohana 8:30
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wengi wakamwamini huko.


Bassi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu na kuyaona aliyoyafanya Yesu, wakamwamini.


Hatta alipokuwapo Yerusalemi wakati wa Pasaka katika siku kuu, watu wengi wakaliamini jina lake, wakiona ishara zake alizozifanya.


Bassi watu wale, walipoiona ishara aliyoifanya Yesu, wakasema, Huyu hakika ni nabii yule ajae ulimwenguni.


Watu wengi katika makutano wakamwamini: wakasema, Atakapokuja Kristo, je! atafanya ishara nyingi zaidi kuliko hizi alizozifanya huyu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo