Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 8:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Hawakufahamu ya kuwa awatajia Baba.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Hawakuelewa kwamba Yesu alikuwa akisema nao juu ya Baba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Hawakuelewa kwamba Yesu alikuwa akisema nao juu ya Baba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Hawakuelewa kwamba Yesu alikuwa akisema nao juu ya Baba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Hawakuelewa kuwa alikuwa akiwaambia kuhusu Baba yake wa Mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Hawakuelewa kuwa alikuwa akiwaambia juu ya Baba yake wa Mbinguni.

Tazama sura Nakili




Yohana 8:27
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nina maneno mengi ya kusema na kuhukumu katika khabari zenu; lakini yeye aliyenipeleka ni kweli, nami niliyoyasikia kwake, ndiyo ninenayo katika ulimwengu.


Bassi Yesu akawaambia, Mtakapokuwa mmekwisha kumwinua Mwana wa Adamu, ndipo mtakapofahamu ya kuwa mimi ndiye, na ya kuwa sifanyi neno kwa nafsi yangu tu, illa kama Baba yangu alivyonifundisha, ndivyo nisemavyo.


Mbona hamyafahamu maneno yangu haya niyasemayo? Ni kwa sababu hamwezi kulisikia neno langu.


Aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu; kwa hiyo ninyi hamsikii, kwa sababu ninyi si wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo