Yohana 8:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192125 Bassi wakamwambia, U nani wewe? Yesu akawaambia, Neno lilo hilo nisemalo nanyi tangu mwanzo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Nao wakamwuliza, “Wewe ni nani?” Yesu akawajibu, “Nimewaambieni tangu mwanzo! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Nao wakamwuliza, “Wewe ni nani?” Yesu akawajibu, “Nimewaambieni tangu mwanzo! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Nao wakamwuliza, “Wewe ni nani?” Yesu akawajibu, “Nimewaambieni tangu mwanzo! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Wakamuuliza, “Wewe ni nani?” Naye Isa akawajibu, “Mimi ndiye yule ambaye nimekuwa nikiwaambia tangu mwanzo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Wakamuuliza, “Wewe ni nani?” Naye Isa akawajibu, “Mimi ndiye yule ambaye nimekuwa nikiwaambia tangu mwanzo. Tazama sura |