Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 8:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Bassi Yesu akawaambia tena, Mimi naondoka, nanyi mtanitafuta, na mtakufa katika dhambi yenu: niendako mimi, ninyi hamwezi kuja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Yesu akawaambia tena, “Naenda zangu nanyi mtanitafuta, lakini mtakufa katika dhambi zenu. Niendako mimi, nyinyi hamwezi kufika.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Yesu akawaambia tena, “Naenda zangu nanyi mtanitafuta, lakini mtakufa katika dhambi zenu. Niendako mimi, nyinyi hamwezi kufika.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Yesu akawaambia tena, “Naenda zangu nanyi mtanitafuta, lakini mtakufa katika dhambi zenu. Niendako mimi, nyinyi hamwezi kufika.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Isa akawaambia tena, “Ninaenda zangu, nanyi mtanitafuta, lakini mtakufa katika dhambi zenu. Niendako mimi, ninyi hamwezi kuja.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Isa akawaambia tena, “Ninaenda zangu, nanyi mtanitafuta, lakini mtakufa katika dhambi zenu. Niendako mimi ninyi hamwezi kuja.”

Tazama sura Nakili




Yohana 8:21
21 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana nawaambieni, Hamtaniona kamwe tangu leo, hatta mtakaposema, Ameharikiwa ajae kwa jina la Bwana.


Kisha atawaambia na wale walio mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, kwenda katika moto wa milele, aliowekewa tayari Shetani na malaika zake:


Na hawo watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele: bali wenye haki katika uzima wa milele.


Alinena haya, illi kuonyesha ni mauti gani atakayokufa.


Bassi Yesu akawaambia, Nuru ingali pamoja nanyi muda kitambo. Enendeni maadam mnayo ile nuru, giza lisije likawaweza; nae aendae gizani hajui aendako.


Enyi watoto wachanga, bado kitambo kidogo nipo pamoja nanyi; mtanitafuta: na kama nilivyowaambia Wayahudi, ya kama, Mimi niendako ninyi hamwezi kuja: sasa nawaambia na ninyi.


Mtanitafuta, wala hamtaniona; nami nilipo, ninyi hamwezi kuja.


Neno gani hilo alilolisema, Mtanitafuta wala hamtaniona; na nilipo mimi, ninyi hamwezi kuja?


Bassi naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa kuwa msipoamini ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.


NA ninyi, mlipokmva wafu kwa sababu ya makosa yenu na dhambi zemi,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo