Yohana 8:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Bassi Mafarisayo wakamwambia, Wewe unajishuhudia nafsi yako; ushuhuda wako si kweli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Basi, Mafarisayo wakamwambia, “Wewe unajishuhudia mwenyewe; kwa hiyo ushahidi wako si halali.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Basi, Mafarisayo wakamwambia, “Wewe unajishuhudia mwenyewe; kwa hiyo ushahidi wako si halali.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Basi, Mafarisayo wakamwambia, “Wewe unajishuhudia mwenyewe; kwa hiyo ushahidi wako si halali.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mafarisayo wakamwambia, “Ushuhuda wako haukubaliki, kwa kuwa unajishuhudia mwenyewe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Mafarisayo wakamwambia, “Ushuhuda wako haukubaliki kwa kuwa unajishuhudia mwenyewe.” Tazama sura |