Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 8:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Yesu akajiinua asimwone mtu illa yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Hapana aliyekuhukumu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Yesu alipoinuka akamwuliza huyo mwanamke, “Wako wapi wale watu? Je, hakuna hata mmoja aliyekuhukumu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Yesu alipoinuka akamwuliza huyo mwanamke, “Wako wapi wale watu? Je, hakuna hata mmoja aliyekuhukumu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Yesu alipoinuka akamwuliza huyo mwanamke, “Wako wapi wale watu? Je, hakuna hata mmoja aliyekuhukumu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Isa akainuka na kumwambia, “Mwanamke, wako wapi wale waliokuwa wanakuhukumu kuwa mwenye hatia?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Isa akainuka na kumwambia, “Wako wapi wale waliokuwa wanakuhukumu kuwa mwenye hatia?”

Tazama sura Nakili




Yohana 8:10
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nao wakazidi kumhoji, akajiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.


Nao, waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianza tangu wazee hatta wa mwisho; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke akisimama katikati.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo