Yohana 7:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Pandeni ninyi kwenda kushika siku kuu hii; mimi sipandi bado kwenda kushika siku kuu hii: kwa kuwa wakati wangu haujatimia bado. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Nyinyi nendeni kwenye sikukuu hiyo. Mimi siendi kwenye sikukuu hiyo, maana saa yangu ifaayo haijafika.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Nyinyi nendeni kwenye sikukuu hiyo. Mimi siendi kwenye sikukuu hiyo, maana saa yangu ifaayo haijafika.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Nyinyi nendeni kwenye sikukuu hiyo. Mimi siendi kwenye sikukuu hiyo, maana saa yangu ifaayo haijafika.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ninyi nendeni kwenye Sikukuu, lakini mimi sitahudhuria Sikukuu hii kwa sababu wakati wangu haujawadia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ninyi nendeni kwenye Sikukuu, lakini mimi sitahudhuria Sikukuu hii kwa sababu wakati wangu haujawadia.” Tazama sura |